Our Staff

This table has two columns. Profile photos are in the first column, contact and bio information in the second column.
Bio information about the SVMEP staff
photo of jolynne bartley

Jolynne Bartley

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Watoto na Vijana
Jengo la Cambell 2227
540-568-4113
bartl2jx@jmu.edu

Jolynne amefanya kazi na Taasisi karibia miaka mitano, kwanza kama Mtaalam wa Elimu ya Awali katika mpango wa Gus Bus, kisha akawa Mratibu wa Mpango wa Gus Bus, na sasa ni Mrukugenzi Msaidizi wa Huduma za Wototo na Vijana. Anasimamia wafanyakazi na pia utawala, mipango na mambo ya mpango kuhakikisha utekelezaji mzuri wa miradi ya Gus Bus, Mpango wa Elimu ya Wahamiaji wa Bonde la Shenandoah, Kesho Mbele (Future Forward), na Familia zenye Afya (Healthy Families). Anasimamia miradi na mipango inayofadhiliwa na ruzuku, kuhudumia watoto, vijana, na familia kote katika Bonde la Shenandoah katika jimbo la Virginia. Ana shahada ya sayansi ya elimu kutoka chuo kikuu cha Florida ya Kati na shahada ya uzamili katika utawala wa umma kutoka Chuo Kikuu cha James Madison, kuzingatia Usimamizi wa asasi zisizo za faida.

photo of nancy resendiz

Nancy Resendiz

Family & Volunteer Coordinator
Jengo la Cambell 2234
540-568-3666
resendnx@jmu.edu

Nancy ni Mratibu wa Familia na Watu Kujitolea kwa Mpango wa Elimu ya Wahamiaji wa Bonde la Shenandoah. Kwa sasa anasoma shahada katika Kazi za Kijamii, Chuo Kikuu cha James Madison. Nancy amekuwa anafanya kazi na mpango huu tangu mwezi wa Mei mwaka wa 2013. Nancy anashughulikia mpangilio wa familia 20 wakati pia husimamia mawakili, watu wa kujitolea, na wajibu wa kila siku wa mpango.

photo of olga baltazar

Olga Baltazar

Mtaalam wa Takwimu na Wakili wa Wanafunzi
Jengo la Cambell 2233
baltazox@jmu.edu

Olga ni Mtaalam wa Takwimu na Wakili wa Wanafunzi katika Mpango wa Elimu wa Wahamiaji wa Bonde la Shenandoah. Kabla ya kufanya kazi Chuo Kikuu cha James Madison alipokea shahada yake katika lugha ya Kihispania na Masomo ya Uhispania kutoka Chuo Kikuu cha Eastern Mennonite. Olga amekuwa anafanya kazi katika mpango huu tangu mwaka wa 2018. Anashugulikia takwimu kwa mpango pamoja na mchakato za familia 25 wa mpango.

photo of Ariana Correa

Ariana Correa

Wakili wa Wanafunzi
Jengo la Cambell 2233
correaaj@jmu.edu

Ariana ni wakili wa wanafunzi katika Mpango wa Elimu ya Wahamiaji wa Bonde la Shenandoah. Kabla ya kufanya kazi Chuo cha James Madison alipokea shahada yake katika kazi za kijamii toka hapa chuoni. Ariana amekuwa anafanya kazi na mpango huo tangu mwezi wa Februari mwaka wa 2019. Ariana anashughulikia mpangilio wa familia 25 katika mradi.